Thursday, February 16, 2017

Today Is A Fools’s Day / Leo Ni Siku Ya Wajinga Duniani.

SIKU YA WAJINGA / FOOL's DAY
It’s a Fools’s Day by the way.! I Know you visited this page with the great intention to know what these two music crooner sing. But what do you think these most famous and gifted musicians can sing about the Dar es salaam Regional Commissioner? Leave your comment below and may be one day they will join their forces to release a super hit song.!

Leo ni Siku Ya Wajinga Jamani.! Najua ulikuwa na shauku kubwa ya kujua nini wasnanii hawa wakubwa wameimba. Lakini unafikiri ipo siku wasanii hawa maarufu na wenye tuzo nyingi wataimba kuhusu  Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam? Labda uache maoni yako hapo chini na labda siku moja wataungana kuachia ngoma kali unayoifikiria.!

Artikel Terkait

1 Comments so far