Friday, June 10, 2016

Jinsi Ya Kujua Tarehe Ya Kujifungua.

MWANANMKE AKIWA TAYARI KWA KUJIFUNGUA
Namna ya kuhesabu tarehe ya matazamio
Njia hii n ya uhakika na inampa mwanamke kujua tarehe ya matazamio ya kujifungua. Mwanamke anatakiwa kujua tarehe yake ili kuweza kupanga mahali pa kujifungulia na kujiweka tayari

Wastani wa kipindi cha ujauzito ni siku 280 ama wiki 40 kamili

Njia hii hutumika maranyingi kwa mwanamke mwenye mzunguko usio badilika badilika sana na unachukulia mwanamke anaona hedhi baada ya siku 28 ama na katikati ya mzunguko wake ni siku 14. Kwa mwanamke wmenye mzunguko wa siku 35 siku yake ya katikati ni siku ya 21


Formula inayotumika inaitwa Naegele's rule.

Tarehe ya matazamio inagunduliwa
    kuongeza 7 kwenye tarehe, kutoa 9 /ama 3 kwenye mwezi kwa mzunguko wa siku  28

    ongeza 0 tu kwenye mzunguko wa siku  21
     ongeza 14 kwenye starehe kwa mzunguko wa siku 35

mfano kama mwanamke mara ya mwisho kuona siku zake ni tarehe 21/3/2008 hivyo tarehe ya matazamio ni

                      

          siku   mwezi   Mwaka  

           21        3       2008

         + 7        +9

           28       12      2008Kama siku yake ya mwisho kuona damu ni 21/5/2008

        siku mwezi    mwaka

         21       5         2008

        + 7      -3

         28      2         2008Na ikiwa mwanamke ameona siku yake ya mwisho tarehe 25/6/2015 tarehe yake ya matazamio ni      siku  mwezi    mwaka

        25       6           2015

       +7       -3

        2           4          2016

 

Artikel Terkait