Monday, 26 March 2018

Nafasi 15 Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Bahi, Dodoma - Mtendaji Wa Kijiji

Nafasi ya Kazi za Mtendaji Kijiji III Nafasi 15 Wilaya ya Bahi

Kumb No. HW/A:10/48 VOL.1/53

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Bahi anapenda kuwatangazia Watanzania wenye sifa za komba nfasi za kazi ya Watendaji wa Vijiji kwa maSharti ya kudumu, tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mbadala chenye kumbu Na. CFC 26/2015/01 "FF"/91 cha tarehe 22/08/2017 pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira mbadala kwa watendaji wa Vijiji na mitaa chenye Kumb Na, CFC.26/205/01/"GG"/95 cha tarehe 12/03/2018 vyote kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora


1. MTENDAJI WA VIJIJI III NAFASI 15

i. SIFA ZA MWOMBAJI

- Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha 4 na 6
aliyehitimu mafunzo ya atashahada/cheti (NTA level 5) katika moja ya fanai zifuatazo Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Dodoma nau chuo chochote kinachotambulika na Serikali

ii. KAZI NA MAJUKUMU
- afisa masuuli na mtendaji mkuu wa Serikali ya Kijiji
- Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao kuwa malinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji
- kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipnago ya maendeleo ya kijiji
- katibu wa mikutano yna kamati zote za halmashauri ya Kijiji
- kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu
- kuandaa taaarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoo njaa, umaskini na na kuongeza uzalishaji mali
- kiongozi Mkuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji
- Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nayaraka za kijiji
- kupokea na kusikiiza na kutataua malalamiko na migogoro ya wnanachi
- kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji
- atawajibika kwa Mtendaji kata

Masharti ya Ajira
- Ajira ya Kudumu

iii MSHAHARA
kwa kuzingatia ngazi ya mishahara ya serikali yaani TGB

MASHARTI YA JUMLA
i. mwombaji lazima awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 - 45
ii. waombaji wote waambatanishe wasifu binafsi CV zenye mawasiliano ya uhakika anuani, barua pepe na namba za simu
iii. waombaji wote waombe kufuata masharti ya tangazo la kazi
iv. waombaji lazima waambatanishe nakala za vyti vifuatavyo
a)astashahada/cheti cha utalaamau kulingana na sifa za nafasi za kazi
b)cheti cha mitihani ya kidato cha 4 na 6
c)cheti cha kuzaliwa
v. hati ya matokeo haitafanya kazi
vi. picha moja passport size ya hivi karibuni
vii. transcrip ambayo haikuambatanishwa na cheti haitafanya kazi
viii. kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo mengine itasababisha kuchukuliwa hatua za kisheria
ix. waombaji ambao ni waumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba nafasi
x. waombaji ambao walistaafu kazi kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi
xi. waombaji waonyeshe wadhamini wawili na mawasiliano yao anuani na namba za simu
xii. waombaji wenye vyeti vya kidato cha 4 na 6 na wenye vyeti vya taaluma ambavyo vimpetaikana nje ya nchi wahakikishe vimehakikiwa na Baraza la Mitihani na Baraza la Elimu ya Ufundi la Taifa
xiii. barua ya maombi iandikwe kwa kiswahili au kingereza
xiv watakao chaguliwa kufanya usaili watajulishwa tarehe

mwisho wa kutuma maombi nitarehe 05/04/2018 saa tisa na nusu Alasiri

maombi yatumwe kwa

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi,
S.L.P 2993
BAHI

Artikel Terkait