Wednesday, 20 May 2020

Rijk Zwaan Tanzania Jobs, Nafasi Za Kazi Ya Ulizi Arusha Mjini

Rijk Zwaan Q-Sem Ltd Jobs (Walinzi 3) May, 2020

Rijk Zwaan Tanzania is located in Arusha, Tanzania. Currently with 500+ employees. Rijk Zwaan is an international family company with a people-oriented culture. Rijk Zwaan is right at the start of the food chain.

We develop vegetable varieties and sell the seeds produced from them globally. We have a long-term focus, which is why we offer our employees a permanent contract as soon as they join us. From our strategic position we contribute to the health and well-being of people all over the world. Everything we do is about growth.

The growth of natural products that we export around the world. The growth of our company, which currently employs over 2,600 people in more than 30 countries. Above all the growth of our people: we give you every opportunity to use your own initiative and achieve your full potential. Working with colleagues to produce the best and tastiest vegetables. Reinforcing, helping and inspiring one another. That is how we continuously want to work together towards a healthy future. We have the following vacancies for dedicated diligent Tanzanians:

Job Summary
Kulinda mali za kampuni, mazingira yanayozunguka kampuni na nyumba za wafanyakazi wenye stahiki ya kupewa walinzi majumbani. Kuelewa na kushiriki katika kudhibiti matukio mbalimbali yanayohusiana na majanga ya asili kama vile mafuriko na matukio yanayoweza kuleta madhara kwa wafanyakazi au mali za kampuni. Mlinzi atakua chini ya kitengo cha Stesheni na ataripoti kwa Mratibu wa walinzi.

• Minimum Qualification: Highschool

• Experience Level: Entry level

• Experience Length:
2 years Job

 Majukumu:
I . Kufika eneo la kazi kwa wakati na kufanya makabidhiano ya lindo kwa usahihi.
2. Kufika eneo la kazi kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa.
3. Kuzingatia sera ya ulinzi, protokali na miongozo iliyowekwa na kampuni.
4. Kuhakikisha usalama wa wafanyakazi, wageni na mazingira ya kampuni.
5. Kuripoti kwa mratibu wa walinzi (Security Team Coordinator) matukio yote, ajali au dharura zinazojitokeza mazingira husika ya kazi.
6. Kuandaa na kupokea muhtasari wa ripoti ya matukio kabla na baada ya kazi.

Sifa za Mwombaji:
Uwezo wa kufanya kazi vizuri na timu. Kuielewa vizuri shughuli za kampuni hii.
Awe na uwezo wa kuandika ripoti Uwezo wa kufanya kazi katika taasisi ya kimataifa.
Uelewa mzuri wa lugha ya Kiswahili kwa kusoma na kuandika
Uelewa wa lugha ya Kiingereza ni kigezo cha nyongeza.
Kufanya kazi kwa kufuata taratibu na kuhudumia wateja wa kampuni.
Uwezo wa Kujitegemea na kuwasiliana vizuri. Mwaminifu.
Awe mkazi wa Arusha

Kama una sifa zilivyotajwa hapo juuu tuma maombi yako kwenye anwani hapo chini kabla ya tarehe 28/05/2020. Wanawake wanahimizwa kutuma maombi.

Anwani:
Ofisi ya Rasilimali Watu Rijk Zwaan Q-Sem Ltd
S.LP 12345
Arusha.

Please send your CV by 28 May 2020. Only short- listed candidates will be contacted.

Artikel Terkait