Tuesday, 9 June 2020

Tanzania Local Government Workers Union (TALGWU) Job Vacancies

Tanzania Local Government Workers Union (TALGWU) is affiliated with the Tanzania Trade Unions Association (TUCTA), the World Trade Union (PSI) and the Local Government Network of Africa (AMALGUN). Thus the trade union is a united, unified, and unified workforce whose goals, goals, aspirations and aspirations are the same

It is a Local Government Association of Tanzania registered under the Trade Unions Act of 1998, and given registration number 010 on 15/09/2000. TALGWU brings together all the staff under Local Government Authorities and other Institutions in the country where as of November 2018, the Association had 64,224 members.

Unity is the only pillar to provide solutions to their problems. TALGWU educates, protects, and protects the employment and remuneration of its members in accordance with laws, regulations, regulations, guidelines and various work documents.

CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA SERIKALI ZA MITAA TANZANIA (TALGWU)

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) anawatangazia nafasi ya Ajira kama ifuatavyo:-

1.0 AFISA TEHAMA DARAJA LA I TLGS D (Nafasi 1)

1.1 SIFA NA UZOEFU
(i) Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza au Stashahada ya juu ya Kompyuta k Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Menejimenti y mengine yanayohusiana na fani hii. (ii) Awe na uzoefu wa kufanya kazi si chini ya miaka mitatu (3)
(iii) Awe na Ufahamu zaidi wa mifumo ya kutunza Takwimu (Data Base)
(iv) Awe na umri usiozidi miaka 45.

KAZI ZA KUFANYA
(i) Kutunza na kuhakiki mfumo wa hifadhi Data
(ii) Kutoa huduma za hifadhi Data kwa watumiaji.
(iii) Kutengeneza kiunganishi kati ya hifadhi Data na tumizi (Develop back — end and front — end connectivity)
(iv) Kusanifu, kutengeneza na kufanya majaribio ya Programu za hifadhi — Data (Design, Implement and test Data Base)
(v) Kuweka usalama wa hifadhi Data ( Implement Security and access control into database)
(vi) Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa kompyuta (Test network equipment and devices) (vii) Kusimamia utekelezaji wa maelekezo ya usalama wa mtandao kwa mujibu wa miongozi ya usalama wa mtandao wa kompyuta, (Implement network security guide lines)
(viii) Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na Mkuu wake wa Kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

3.0 NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Waombaji wenye sifa zilizotajwa watume maombi yao kwa:-
Katibu Mkuu, Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), 
S. L P.16097, 
DAR ES SALAAM. 

NB. Barua zote za Maombi ni lazima ziambatanishwe na Wasifu (CV) wa muombaji, picha moja ya Passport size ya hivi karibuni. Na nakala zilizothibitishwa za viwango vya ufaulu na vyeti vya taaluma. Majina matatu ya Wadhamini yaonye-she anuani na namba zao za simu. Maombi yatumwe kwa njia ya posta.
Pia Tangazo hili linapatikana kwenye Tovuti ya TALGWU www.talgwu.or.tz.
Mwisho wa kutuma maombi ni siku kumi na nne (14) tangu tarehe ya tangazo hili.
Rashid M. Mtima, KATIBU MKUU — TALGWU.