Tuesday, 7 July 2020

ELCT Job Vacancies At The Northern Diocese, Hostel Manager

The Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) is the federation of Lutheran churches in Tanzania and one of the largest Lutheran denomination in the world with more than 6 million members.

The church is led by a presiding bishop and twenty-five diocesan bishops, representing 25 dioceses, and has a membership of more than 6.5 million.[4] The Head Office of the Church is in Arusha, where it has owned the New Safari Hotel since 1967. The church is affiliated with the All Africa Conference of Churches (AACC), the Christian Council of Tanzania, the Global Confessional and Missional Lutheran Forum, and the Lutheran World Federation.

The ELCT is an organization which reaches out to the people of Tanzania offering worship opportunities, Christian education, and numerous social services.

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini

Dayosisi ya Kaskazini inapenda kutangaza nafasi ya kazi ya Meneja wa Hostel kwa watu ambao wana wito wa kufanya kazi na Kanisa. 

(i) KAZI NA MAJUKUMU YA MWOMBAJI.
 Atafanya kazi zote za utawala katika Hostel. 
Atahakikisha usalama wa wageni watakaoingia kituoni. 
Atahakikisha huduma ya Hostel inakuwa endelevu. 
Atakuwa Katibu wa bodi ya Hostel, 
Ataitangaza Hostel ndani na nje ya nchi kwa kutumia mtandao na viperushi. 
Atadumisha mahusiano mazuri kati wa Wageni na watumishi wote. 
Na kufanya kazi nyingine a mwajiri wako. 

(ii) SIFAZA MWOMBAJI. 
Umri wa kuanzia miaka thelathini (30)na kuendelea 
Awe raia wa Tanzania
Awe na Elimu ya Hoteli ngazi ya Stashahada au Shahada 
Awe na Hati ya KuzaliWä ya Tanzania au Kitambulisho cha Makazi yake. 
Awe anajua kusoma na Kuandika Kiswahili, Kiingereza vizuri. 
Awe na uzoefu wa kazi ya Hoteli usiopungua miaka mitano (5) na kuendelea
 Awe mtu mwadilifu na anayeaminika katika jamii

 Mwombaji atume barua yake, CV, picha ndogo ya passport size, barua kutoka kwa Mchungaji , Padre, Shehe au kiongozi wake wa kiroho na vivuli vya vyeti vyake. 

Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 15/07/2020 Saa tano (5:00) Asubuhi 
Maombi yote yatumwe kwa Katibu Mkuu Dayosisi ya Kaskazini 
S. L. P 195 MOSHI. 

Anuani ya baruapepe ni generalsecretary@northerndiocese.co.tz

Artikel Terkait