Monday, 21 September 2020

Ajira Mpya: Ualimu, Udereva, Uhasibu, Secretary By Ellen White School

 


The Office of the Manager of Ellen White School Dodoma would like to announce to the public that the school has provided employment opportunities for Teachers, Drivers, Accountants, Marketing Officer and Secretaries as follows:

Ellen White Pre And Primary School Various Jobs September, 2020

ELLEN WHITE PRE AND PRIMARY SCHOOL
P.O.Box 3118, Nzuguni "B" Dodoma — Tanzania
Mob: 0769 352215 / 0673 443 962
Email: ellenwsch0012019.tz@qmail.com, www.ellenwhite.co.tz
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

1. UTANGULIZI
Ofisi ya Meneja wa Shule ya Ellen White School Dodoma inapenda kuutangazia
Umma kuwa, Shule imetoa nafasi za ajira kwa Walimu, Madereva, Wahasibu,
Afisa Masoko na Makatibu Muhtasi kama ifuatavyo:

2. WALIMU WA SHULE VA MSINGI
A. Kuajiriwa wenye sifa zifuatazo.
Wenye Astashahada (cheti) au Stashahada (Diploma) ya ualimu
Wenye Shahada ya Ualimu kwa masomo ya English, Civic, General
Studies, History, Geography, Science, Hisabati na Kiswahili.
Wenye Stashahada (Diploma) ya uandishi wa habari na utangazqji.
Wenye Stashahada (Diploma) ya kompyuta katika moia ya fani
zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya habari, na Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano, Menejimenti ya mifumo ya Habari au mafunzo
mengine yanayohusiana na fani hii.
Wenye Astashahada (cheti) au Stashahada (Diploma) ya muziki au ujuzi
wa kucheza piano, Drum, Gitaa, kuchanganya Sauti na kutengeneza beat
za nyimbo za injili.

3. MADEREVA
Kuajiri wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na leseni Dargia C 2,
Cl na C ya uendeshaji magari ambayo imefanyiwa kazi kwa muda
usiopungua miaka miwili bila kusababisha ajali.
Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshqji magari (Basic
Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo VETA/NIT au
Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II
watafikiriwa kwanza.

4. KATIBU MUHTASI (Personal Secretary)
Waombaji wawe na Elimu ya kidato cha Nne (I V) waliohudhuria na kufaulu mafunzo
ya uhazili na kupata eheti cha NTA Level 5
Waombaji wawe wamefaulu somo Ia Hati Mkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno
80 kwa dakika moja.
Waombaji wawe wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka Chuo ehoehote
kinachotambulika na Serikali na kupata cheti katika program za Microsoft Office,
Intemet, Email na Publisher.

5. AFISA MASOKO MSAIDIZI
Awe na Stashahada (Diploma) ya masoko, Biashara au usimamizi wa
Ardhi kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja.

6.MHASIBU MSAIDIZI
Awe na Stashahada (Diploma) au Shahada (Degree) ya Uhasibu kutoka
Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja.

MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45
Waombaji wote waambatanishe vivuli vya cheti cha kuzaliwa na
kitambulisho cha NIDA
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (detailed
C. V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya
wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti
vya kidato cha nne au sita
Picha moja (l) ya Passport Size iliyopigwa hivi karibuni.
Maombi yote yaandikwe kwa Lugha ya kiingereza.
N.B: Atakaewasilisha "Statement of Result" au "Progressive Report" maombi
yake hayatazingatiwa.

Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
MENEJA WA SHULE
SHULE YA ELLEN WHITE
S.L.P 3118
nonnMA
Tarehe ya Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28 Scptcmba, 2020 muda wa
saa za kazi.

Related Posts