Monday, 21 September 2020

Ajira Mpya Za Walimu Shule Ya Msingi Na Sekondari Serikalini


 Check all the details about New TAMISEMI  Secondary and primary schools teachers Jobs September, 2020 (OTEAS Ajira Za Walimu TAMISEMI 2020). Application form is filled via the Tamisemi Online Teachers Application System (OTEAS) recruitment OTEAS Portal link: http://ajira.Tamisemi.go.tz/ or http://ajira.tamisemi.go.tz/#/authentication/login


JAMHuRl YA MulJNGAN0 WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
DODOMA

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA WALIMLJ WA SHULE ZA MSINGI NA
SEKONDARI

A: UTANGULIZI
Offsi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa nafasi za ajira ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sabahu hiya. Ofisi ya Rais
• TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupltia kiunganishi Cha aiira. tarotserm.ao.tz (Online Teacher Employment Application System - O TEAS)
Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo:

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI
Mwalimu Daraja Ia IIIA — rawenye Astashahada (Cheti) ya ualimu, Mwalimu Daraja Ia 111B • mwenye Stashahada (Diploma) ya Ualimu katika somo la English na waliosomea ya Mwalimu Daraja Ia IIIC - mwenye Shahadä ya ualimu wa masorno ya English, Civics, Genera/ Studies, History, Geography na Kiswahi/i; Mwalimu Daraja la 111B na IIIC — mhitimu wa Stashahada (Diploma) ya ualimu (Elimu Maalum) wa masomo ya Lugha. Sanaa, Sayansi na Hisabati.

WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI
Daraja 111B — Stashahada (Diploma) ya waliosomea Elimu Maalum kwa masomo ya English Language, Geography, Physics na Mathematics; Daraja 111B — Stashahada (Diploma) Wa
mesomo ya Physics, '"athematics, Chemistry, Home Economwcs na Agricultora/ Science; Daraja la — Shahada ya l_Jalimu waliosomea Maalum kwa masoma ya Engnsh Language, Geography, Physics na Mathematics;
- Shahada ya Wa Physws, Mathematics, Chemistry na ayo/ogy_
Mwalimu Oaraja Ia IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu wa masomo ya Agricultura/ Science, English Language, English Literature. Chinese, French, Book Keeping, Commerce, Accounts, Econonucs.

Wahitimu wa Stashahada (Diploma) ya Ufundi na Shahada ya Uhandisi ujenzi (Civil Ergiræeöng), Uhandisi Mitambo (Mechanical Emgnneeryng), Uhandisi umeme (Flectrica/ engineering) na Flectronyc engineering ambao wataajiriwa kama Walimu Daraja Ia 111B na Daraja Ia IIIC; na Fundi Sanifu Maabara - wahitimu wa Stashahada (Diploma) ya Ufundi Sanifu Maabara na Stashahada ya Sayansi na Teknolojia ya Maabara.

SIFA ZA JUMLA ZA MWOM3AJl
Mwambaji wa nafasi zilizoainishwa hapo juu awe na sifa za jumla zifuatazo:•
Awe ni Mtanzania;
Awe amehitimu kati ya mwaka 2014 hadi 2019.
Asiwe na umri wa Zaidi ya miaka arobaini na tano (45);

Walimu wallowahi kutuma maombi na hawakupata nafasi za ajira
wanaweza kutuma maombi upya:
Walimu waliowahi kuajiriwa Serikalini hawatakiwi kutuma maombi; na
Wa ajira ya ahaklkishe Cha Taifa
(NIDA) au namba ya NIDA.

Maambi yote ya ajira yatumwe kupitia Ovenye mfumo wa maombi ya ajira wa Of•si
ya Rais — TAMISEMI kama hili. Hakuna maomhi
yatakayopokelewa kwa njia tofauti na iliyoelekezwa. Waomhaji wanatakiwa kutuma
maambi yao kuanzia tarehe 07/09/2020 hadi 21/09/2020.
Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais
DODOMA.- TAMISEMI_

Online Teacher Employment Application System - OTEAS
How to Apply for Secondary and primary schools Teachers 2020?

APPLICATIONS LINK

The deadline for submitting the application is September 21, 2020

Related Posts