Monday, 30 November 2020

Nafasi 13 Za Kazi UDART Dar es salaam, Tuma Maombi Hapa


DART 13 Jobs November, 2020. The Dar Rapid Transit (DART) is a bus-based mass transit system connecting the suburbs of Dar Es Salaam to the central business district., which began operations on May 10th, 2016.The transit system consists of 6 phases and the construction of the first phase began in April 2012 by the Austrian construction company Strabag International GmbH. Construction of the first phase was completed in December 2015 at a total cost of €134 million funded by the African Development Bank, World Bank and the Government of Tanzania.

 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
RAPID
WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA
TANGAZO LA AJIRA YA MUDA MFUPI
26.11.2020

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka, anakaribisha
maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza
nafasi wazi kama zilivyobainishwa katika tangazo hili.

1. MKUSANYA MAPATO-(Nafasi 2)

1.1 SIFAZA MWOMBAJI

Awe na Elimu ya Kidato cha IV na amehitimu elimu ya ngazi ya cheti katika
fani zifuatazo (Uhasibu, Biashara, Manunuzi, Takwimu, Hisabati au
nyingine inayofanana na hizo) kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali.

1.2 MAJUKUMU YA KAZI
Kukusanya fedha zote katika maegesho ya magari pamoja na
sehemu za huduma ya choo
Kukusanya takwimu za magari yanayoegeshwa kwa siku pamoja
na takwimu za watumiaji wa choo kwa siku
Kuandaa hesabu za makusanyo ya kila siku kwa kutumia vitabu
vya RCCB
Kutunza fedha zote za makusanyo ya siku na kuhakikisha usalama
wa fedha hizo kabla hazijafika benki.
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.


2. WAKUSANYA TAARIFAZA MWENENDO WA MABASI - (Nafasi 7)

2.1 SIFAZA MWOMBAJI
Awe na elimu ya Kdato cha IV na aæ na cheti cha kufuzu mafunzo ya
kompyuta, pia awe na Afya njema tayari kufanya kazi katika muda wa
Alfajiri kuanzia Saa 10:30 — 08:00 Mchana na kuanzia Saa 08:00
mchana — 05:30 Usiku katika Vituo vikuu vya Mabasi Yaendayo Haraka.

2.2 MAJUKUMU YA KAZI
Kuchukua kumbukumbu za mwenendo wa mabasi yanavyowasili
na kuondoka kwenye vituo (Terminals)
Kuingiza kumbukumbu za taarifa zilizokusanywa kwenye kanzi
data ya Wakala.
Kutoa taarifa ya mwenendo wa mabasi kila siku kwa msimamizi wa
3 MHUDUMU WA MAKUNDI MAALUM - (NAFASI 4) Marudio

3.1 SIFAZA MWOMBAJI
Awe na Elimu ya kidato cha nne na amehitimu elimu ya cheti cha
mafunzo (NTA Level 4) katika fani ya maendeleo ya jamii II-Jstawi wa
jamii kutoka vyuo Vya maendeleo ya jamii vinavyotambuliwa na
serikali.

3.2 MAJUKUMU YA KAZI
Kutambua na kuhudumia watu walio katika makundi maalum.
Kukusanya takwimu zinazohusu watu walio katika Makundi
maalum wanaopita katika vituo.
Kutoa taarifa ya utekelezaji wa kazi zake kila siku.
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi
zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

4 MASHARTI YAJUMLA
Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wawasilishe nakala
ya Cheti cha kidato cha nne.
Testmonials", "Provisional Results", "Statement of results", hati ya
matokeo ya kidato cha nne na sita (FORM AND FORM VI
RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
Picha moja "Passport size" ya hivi karibuni.
Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao
vimehakikiwa na Baraza la Mitihani Tanzania — (NECTA).
Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa
hatua za kisheria.
Waombaji wote wawe ni Raja wa Tanzania,
Waombaji wote waambatishe nakala ya cheti cha kuzaliwa,
Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45,
Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza
(Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika
pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
Maombi yote yaambatane na nakala ya vyeti vya kidato cha nne,
taaluma, kwa wale waliohitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa
za kazi husika waambatanishe vyeti vya mafunzo husika.

Maombi yote yatumwe kwa:-
MTENDAJI MKUU,
WAKALA WA MABASI YAENDA
S.L.P. 724,
DAR ES SALAAM.
P, O, 724
DAR ES SALAAM
ART AGENCY

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 09/12/2020 Saa 09:30 Jioni.
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili
HAYATAKUBALIWA.

Related Posts