Friday, 15 January 2021

Ajira Mpya 30 Serikalini Kupitia TAMESA, Tuma Maombi Hapa


30 Job Vacancies at TEMESA January, 2021. Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) is a public entity established by the Government of the United Republic of Tanzania (URT) by the Government Notice Number 254 published on 26th August, 2005 to take over the functions which were previously undertaken by the then Electrical and Mechanical (E&M) Division of the Ministry of Works.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)
TANGAZO LA KAZI
KAZI YA MUDA

Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ni Taasisi ya Urnma iliyoanzishwa
kwa Sheria Na 30 ya mwaka 1997. Majukumu yoke makubwa ni kutoa
huduma za matengenezo ya magari na mitambo, huduma za Umeme ikrwa
ni pamoja na kufanya matengenezo ya taa za barabarani. kufanya
matengenezo ya majokofu. viyoyozi na kufanya matengenezo ya mifumo ya
TEHAMA na vifaa vya clektroniki, kutoa huduma za vivuko na huduma
ushauri
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESAI, katika
kuhakiksha kuwa majukumu ya Wakala yanatckelezwa anatangaza nafasi
za kazi za muda kwa ajili ya Vituo vya TEMESA Pwani, Mwanza, na
Magogoni Feri kama ifuatavyo:

NAHODHA WA KIVUKO - NAFASI 30

Sifa za mwombaji:

Mwombaji anatakiwa kuwa na elimu ya kidato cha nne au kidato cha sita
pamoja na mojawapo ya Sifa zifuatazo;
i. Awe na •Class 4 Certificate of Competence" (COC)
ii. Awe na "Class 4 Certificate of Competence" (COC) parnoja na 'Master
Near Coast-
Au;
iii. Awe no Clasq Certificate of Competence (COC)
NB: Waombaji wenye Shahada au Stashahada katika rani ya "Navigation',
• Mechanical Engineering' no *Marine Engineering" watafikiriwa pia.

Kuendesha na kuongoza Kivuko;
Kutoa maelekezo ya kufunga na kufungua kamba za Kivuko;
Kusimamia usalama wa abiria na mizigo ndani ya Kivuko;
Kusimamia upangaji wa abiria na mizigo kwenye Kivuko;
Kuhakikisha kwamba injini ya Kivuko zipo katika hali nzuri ya
kufanya kazi;
Kuangalia mafuta na vyombo vingine wa kufanyia kazi;
Kutunza daftari la safari za Kivuko;
Kutunza nyaraka muhimu za Kivuko;
Kusimamia nidhamu na utendaji wa watumishi walio chini yake;
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi. 

MASHARTI YA JUMLA
i. Mwombaji awe ni raia wa Tanzania.
ii. Barua za maombi ziambatishwe na nakala za vyeti husika pamoja
na nakala ya cheti cha kuzaliwa, picha mbili ndogo (passport size)
za mwombaji na taarifa binafsi (curriculum vitae) ya mwombaji.
iii. Waombaji watakaokuwa na sifa zinazohitajika ndio watakaoitwa
kwenye usaili.


Barua za maombi zitumwe kwa:

Mtendaji Mkuu,
Wakala wa Ufundi na Umeme,
S. L. P. 1075,
DODOMA
 

AU KWA;
Meneja Mkoa,
Wakala wa Ufundi na Umeme,
S. L. P. a0150,
KIBAHA - PWANI
 

AU KWA;
Meneja Mkoa.
Wakala wa Ulundi na Umeme,
S.I,.P. 691,
MWANZA.


AU KWA;
Mkuu Wa Kivuko.
Kivuko Cha Magogopi,
Wakala wa Ufundi na Umemc.
S.L.P. 9691,
DAR ES SALAAM


MWISHO WA RUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 21 Januari. 2021.

Related Posts